Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

Nimefurahi tu hapo uliposema Yanga atakuwa bingwa tena msimu ujao! Good boy [emoji3581]
Mwaka jana Manara aliwahi kusema Simba itaendelea kuchukua kombe la ligi kuu mara nane mfululizo. Sijui limetimia? Tukianza na mwaka huu kwanza
 
SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU

Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha.

Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19

Chanzo: SportsArenaTz

Wenye kujua ya ndani tunajua kuwa hata akina Erasto Nyoni na John Boko nao hamuwaachi kwani Mshikaji wao Mkuu ( mpaka katika Kuroga ) Kipa Aishi Manula amewaomba kuwa msiwaache. Kifupi ni kwamba Simba SC hakutakuwa na Mabadiliko yoyote kwani kumejaa Uhuni na Uswahili tu hivyo Yanga SC nawatabiria leo rasmi kuwa hata Msimu ujao wanaenda kuwa Mabingwa tena.

Imeisha hiyo.....!!!!!
Digirii yako ya SAUT, unaifedhesha
 
Back
Top Bottom