Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue.
Lakini watoto hawa Malaika wa Mungu wasiojua kitu wanapata nini wakati hata kandambili miguuni hamuwanunulii?
Mnatumia vibaya umasikini wa Watanzania Kwa faida yenu wakati hata Rais hajui mnampambania kweli au mnajipambania wenyewe Kwa kutumia kivuli chake?
Na Walimu na Wazazi mnaotoa watoto wafanyiwe maigizo na Machawa hawa Mungu awalaani milele.