Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jamani jamani haka katoto Tunda katakuja kuvunja ndoa yangu siku si nyingi walahi.
Yaaani haka katoto kamebarikiwa kila sekta hakika nathubutu kusema aliumbwa na kunakshiwa na udongo wenye dhababu ndani yake maana duuuh kila anavyozidi kukua anazidi kuwa mzuri mara tatu zaidi ya siku za nyuma.
"Niamini eeeh mimi mwengine sina darling
Na mbaya sikufunzwa tabia.
Mahaba niue mimi mwenzako chali chali
Ndani donda funza nishaga jifia
Bora kukueleza imenishinda sirii
We ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije niweka visangani
Nawe chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuli na macho fumba
Usije kutamani mabedui mabedui iiiii
Dede dede simama wakuone you are my number one
Dede dede simtaki mwengine you are my only oneeeeeeee.