Acheni masikhara Tunda kaumbwa kwa udongo wa wenye dhahabu

Acheni masikhara Tunda kaumbwa kwa udongo wa wenye dhahabu

Acha maneno yako wewe unamjua aika wa mtaani kwetu wewe?

Unajua ninavyotafuta hela kama chizi kwaajili yake?

Kuna watoto wameumbwa bwana aika ni nambari 1 tabata nzima.
isije ikawa aika mpenzi wangu
 
Hujaona wanawake wazuri bado.tembea uone.huyo dogo hata kwenye top 50 ya warembo wa wilaya anayoishi hayupo.
 
Jamani jamani haka katoto Tunda katakuja kuvunja ndoa yangu siku si nyingi walahi.


Yaaani haka katoto kamebarikiwa kila sekta hakika nathubutu kusema aliumbwa na kunakshiwa na udongo wenye dhababu ndani yake maana duuuh kila anavyozidi kukua anazidi kuwa mzuri mara tatu zaidi ya siku za nyuma.


View attachment 680634

"Niamini eeeh mimi mwengine sina darling

Na mbaya sikufunzwa tabia.


Mahaba niue mimi mwenzako chali chali

Ndani donda funza nishaga jifia

Bora kukueleza imenishinda sirii
We ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije niweka visangani


Nawe chunga kauli zinaponza

Zitafanya tuwe maadui maadui

Kinywa tia kufuli na macho fumba

Usije kutamani mabedui mabedui iiiii


Dede dede simama wakuone you are my number one

Dede dede simtaki mwengine you are my only oneeeeeeee.
Hana kinyesi tumboni?
 
00a1902906626164ff5b8e735d817131.jpg


7ea7260b099aed209181d65df5bf4a26.jpg
 
Kwani huyu Tundu mbona anawasumbua hivi mbona ni wa kawaida?kila siku mnapost tunda tunda mbona mimi naona Tundu tu hapo?
 
Hawa mademu wa Dangote wanatumia makeup sana , niwakawaida Sana, Zari, Hamisa , Tunda, wote full makeups
 
Back
Top Bottom