isije ikawa aika mpenzi wanguAcha maneno yako wewe unamjua aika wa mtaani kwetu wewe?
Unajua ninavyotafuta hela kama chizi kwaajili yake?
Kuna watoto wameumbwa bwana aika ni nambari 1 tabata nzima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87]Af ndo nisiende chumvin kwa mtoto kama huyo walah
AiseeNasikia mtoto anafirana hatari bata anasubiri!
Kwa mujibu wako.Hujaona wanawake wazuri bado.tembea uone.huyo dogo hata kwenye top 50 ya warembo wa wilaya anayoishi hayupo.
Hana kinyesi tumboni?Jamani jamani haka katoto Tunda katakuja kuvunja ndoa yangu siku si nyingi walahi.
Yaaani haka katoto kamebarikiwa kila sekta hakika nathubutu kusema aliumbwa na kunakshiwa na udongo wenye dhababu ndani yake maana duuuh kila anavyozidi kukua anazidi kuwa mzuri mara tatu zaidi ya siku za nyuma.
View attachment 680634
"Niamini eeeh mimi mwengine sina darling
Na mbaya sikufunzwa tabia.
Mahaba niue mimi mwenzako chali chali
Ndani donda funza nishaga jifia
Bora kukueleza imenishinda sirii
We ndo umeniweka kiganjani
Na nikiteleza unikoshe na mwili
Chonde usije niweka visangani
Nawe chunga kauli zinaponza
Zitafanya tuwe maadui maadui
Kinywa tia kufuli na macho fumba
Usije kutamani mabedui mabedui iiiii
Dede dede simama wakuone you are my number one
Dede dede simtaki mwengine you are my only oneeeeeeee.
MKUU MBONA KAMA UNA TABIA ZA LEMUTUZ KUPENDA VITOTO???!!!SHAURI YAKE MUDA SIO MREFU VIDEO YAKO ITAVUJA NA WEWE
Mtoto wa kwako we mwenzio mkubwa mwenzio.MKUU MBONA KAMA UNA TABIA ZA LEMUTUZ KUPENDA VITOTO???!!!SHAURI YAKE MUDA SIO MREFU VIDEO YAKO ITAVUJA NA WEWE
Bila picha unayoyaongea ni uongo mtupuAcha maneno yako wewe unamjua aika wa mtaani kwetu wewe?
Unajua ninavyotafuta hela kama chizi kwaajili yake?
Kuna watoto wameumbwa bwana aika ni nambari 1 tabata nzima.
Kama anavyokusumbua wewe, comment moja umemtaja Mara tatuKwani huyu Tundu mbona anawasumbua hivi mbona ni wa kawaida?kila siku mnapost tunda tunda mbona mimi naona Tundu tu hapo?
Unasumbuliwa na Tundu au Tunda!Kama anavyokusumbua wewe, comment moja umemtaja Mara tatu
Matunda ni mazuri bhuana