Acheni Mungu aitwe Mungu, huu mwaka wa kufungua vifungo vyote

Acheni Mungu aitwe Mungu, huu mwaka wa kufungua vifungo vyote

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Huu mwaka

Katoka Lulu
Katoka papii

Katoka sugu

Katoka NGUZA v

Katoka mtani wangu wa Jadi Simba SC

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Wanna Yanga tuna Gundu

Nimependa simba alivyotoka kifungoni lkn badala amshukuru yanga kwa kumtoa analeta nyodo
 
Hatamazagazaga nashangaaaa
Nimependa simba alivyotoka kifungoni lkn badala amshukuru yanga kwa kumtoa analeta nyodo
Bila Yanga SIJUI wangetokea mbezibeach
 
Huu mwaka

Katoka Lulu
Katoka papii

Katoka sugu

Katoka NGUZA v

Katoka mtani wangu wa Jadi Simba SC

ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Wanna Yanga tuna Gundu

Kweli kabisa
hawa yanga ndio wametuletea jiwe na kwa hili nawaombe mteremko mwema wa kuelekea nafasi mbaya kuliko zote mlizowai kufika

Yanga ni mwanamke mwenye nuksi hafai ata kua house girl.

R.I.P ndala
 
Back
Top Bottom