Acha zako mm ndo nishafanya booking haponice njoo na kwangu [emoji23] [emoji23]
aaaah acha bwana, mtoto mzuri huyu nkuachie wewe bazazi hapana, kwa heshima naomba uniachie mzee baba,Acha zako mm ndo nishafanya booking hapo
Sio kwamba inategemeana na mtu ana majukumu gani, maana kuna mengine inakua vigumu kidogo..labda wakati mtu umepata likizo unapata wasaa wa kuingia humuSawa, jua pia watu wengi waliopo humu wanatekeleza majukumu yao kama kawaida na humu wapo pia
sina muda huo, sio lazima niwe na pm😎😎Jaribu utume tena
hapahapa nakuchukulia ujueFungua uzi wako umuite[emoji35] [emoji35]
[emoji23]Akaa
Mwanamke anafatwa hajipeleki
kabisa mkuu, tena mda so mrefuNakuona unamlia mingo ndege wangu[emoji28] [emoji28]
sitaki kabisa yaani, bora pm za wana najua tunaweza peana madili ya kujikuwamua kimaisha. Hao ke hamna lolote, Sizitaki mbichi hizi😃😃Hahaha, hata za wachuchu?