Acheni roho mbaya mazee. Yaani PM yangu iko EMPTY kabisa ...dah!!

Acheni roho mbaya mazee. Yaani PM yangu iko EMPTY kabisa ...dah!!

Kumbe mimi nina uafadhali..ninazo pm mbili zote nimetuma mimi but sijajibiwa tangu nizitume mwezi wa 2
 
Sawa, jua pia watu wengi waliopo humu wanatekeleza majukumu yao kama kawaida na humu wapo pia
Sio kwamba inategemeana na mtu ana majukumu gani, maana kuna mengine inakua vigumu kidogo..labda wakati mtu umepata likizo unapata wasaa wa kuingia humu
 
Back
Top Bottom