Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha eti akaoge ziwa magadi!!!Hata pm ya mod hamna?? Kaoge ziwa magadi
Anza kwangu kwanza nikupe maelezo ndo uendeNakuja pm kwako usiwaze jamani
Tatizo wewe huingii JF mara kwa mara, sasa utazoeanae na watu...Mambo ni baridii[emoji28] [emoji28]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ........huo muda wa kuzoeana na watu ni kazi kuupata...kwa kushinda jf mara kwa mara..Tatizo wewe huingii JF mara kwa mara, sasa utazoeanae na watu...
Mtu kuja PM lazima mzoeane japo kidogo.
Sawa, jua pia watu wengi waliopo humu wanatekeleza majukumu yao kama kawaida na humu wapo pia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ........huo muda wa kuzoeana na watu ni kazi kuupata...kwa kushinda jf mara kwa mara..
Siunajua majukumu
nice njoo na kwangu [emoji23] [emoji23]Nakuja pm kwako usiwaze jamani