Acheni taharuki , Emmanuel Nchimbi yu hai, mnataka aongee hadharani kama nani na kwa manufaa ya nani?

Acheni taharuki , Emmanuel Nchimbi yu hai, mnataka aongee hadharani kama nani na kwa manufaa ya nani?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Hello!

Kama kawaida wapinzani uchwara hata hawajui wanataka nini. Mwezi mmoja tu nyuma kuna maneno aliyaongea Ex vice president Emmanuel Nchimbi wakaanza kumchukia. Baadaye kidogo wakasikia amejiuzulu.
Nchimbi kafanya usaliti mkubwa kwa Taifa, kosa lake ni la uhaini.

Yuko hai ila hatapewa nafasi ya kuzungumza hadharani.
Haini hawezi kupewa nafasi hiyo.

Binafsi naheshimu mchango wa Emmanuel Nchimbi katika ujenzi wa Taifa, lakini pia lazima tukubali kuwa yeye sasa si kiongozi hapaswi kupewa nafasi ya kuzungumza mbele za camera.

Amani na ustawi wa nchi ni kitu muhumu zaidi ya mnavyodhani.
 
NCHIMBI ALIOMBA KURA KWA MATAJIRI AMBAO NI WANANCHI SASA WANANCHI WANAWAJIBU WA KUJUZWA MFANYAKAZI WAO YUPO WAPI
 
Back
Top Bottom