Acheni tu Joti abomolewe nyumba, alikebehi sana watu kwenye kipindi chao

Wabongo wana roho mbaya ya asili

Ukiona Ruge, Diamond, Joti n.k wanachukiwa Jua ni kutokana Na mafanikion Yao Sio Matatizo yao


Bongo ukiwa Na hamu uchukiwe hata Na ndugu zako wa damu basi fanikiwa
Mwenzio kabakiza kupaa angani na kuroga tu ili akamilishe status yake ya uchawi...
Yaani wabongo bhana wanataka wote tuwe maskini wafurahi na tunavoendelea kukaririshwa kuwa matajiri ni wezi hadi unaweza ukacheka jinsi chuki hii mbaya inavyowatafuna maskini...

Mimi kilichonishtua ni huo mjengo wa joti ambao sijawahi kuona akiupa promo kama wasaniii wengine..kwa hilo nampa respect
 
Umenena mkuu..watu wana wivu sana,na ndo maana mtu akifanikiwa utaanza kusikia mara anauza unga,mara freemason, mwizi na mambo mengine ya kipumbavu,kumbe wengine wamehaso kihalali kupata mali walizonazo kwa kujibana..
 
Mto uzi una roho ya kimaskini sana.
Unafikiri akibomolewa wewe utafaidika na nini ama chuki tu???
Je unajua yuko na vitega uchumi vingapi? Sio rahis atetereke kama unavyodhani..

Uchawi sio vitendo tu na hata wenye vijiba vya roho kama chako...

Samahan lakini
 
Acha mawazo ya kimaskin mkuu.
 
Viwanja vyote vilivyowekewa X ni vya kupimwa,Vina hati na walinunua wizara ya Ardhi,Kwahiyo hata kama akivunjiwa Nyumba au Ukuta atalipwa fedha zake ila bora wavunje na nyumba yote sio ukuta tu maana wakivunja ukuta barabara itakuwa inapita kwenye kibalaza,akitoka mlangoni anakanyaga lami ambayo ni risk.
 
Umenena mkuu..watu wana wivu sana,na ndo maana mtu akifanikiwa utaanza kusikia mara anauza unga,mara freemason, mwizi na mambo mengine ya kipumbavu,kumbe wengine wamehaso kihalali kupata mali walizonazo kwa kujibana..
Ndo maana matajiri wanazidi kuwa matajiri huku maskini wakiwarithisha umaskini watoto wao.. yaani mtoa mada ndo baba wa mtu ..sasa huyo mtoto inakuaje
 
Wewe lazma mchawi unaroho ndogo ya wivu,mbna kimara watu wamebomolewa nyumba zao tena nyingi nje ya vipimo vya awali, hukuja hapa kuanzisha uzi..kua na ubinadamu na wivu wa maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…