Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Waislam ni akina nani??????????????????????? Acha uchwara wa akili jamaa yangu.taarabu ni kwa ajiri ya waislam
Napenda kaona mambo iko huku taraabu imo ..by Nasma Kidogo (RIP) na Chaja ya Kobe
Kaona mambo yapo huku
taarabu imo taarabu imo, kaona mambo yapo huku weeeee utaumiza roho yako
Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo*2. umeshachelewa naondoka naye,
umeishiwa nina dunda naye. Kipi cha kung'ang'ania hakutaki ebu timua,
mtu mzima hovyo unajieshua, mtu mzima hovyo unajieshua
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahahaha Mrembo by Nature me nilishawishiwa mara moja na mzee yusuph kusikiliza huu music hasa hule wimbo wake wa " your ma valentine"
Hebu nikumbushe mistari michache.
ananisugua nasuguliiikaaaaa......!
af we mchoyo wa like ehhh...:smile-big:ati eeeh
af we mchoyo wa like ehhh...:smile-big:
kazi ganiMmekosa kazi
lol....yani namsikiliza Leyla Yusuph....ad nasinzialike nisipokupa ww nimpe nani tena mai
ila bana mzee yusufu yupo juu..kuacha wale wakongwe..hawa wengin walioingiza viduku amna kitulike nisipokupa ww nimpe nani tena mai