Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

Taarabu za zamani bana


Ni bure zenu fitina, si wala hatuachanani
Wenyewe tumependana, kuachana ni muhali

Nataka kunena,kuwafahamisha
Naona fitina,mmezizidisha
Hatutaachana mwajihangaisha.
 
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"

Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.

"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"

"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"

Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.


Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?

CC

Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao

Kweli kuna baadhi ya mashairi yana ujumbe mzuri.
 
Alokupa kiti wewe cha kukalia,kumbi akanipa mimi
Ni Mungu si mwenginewe usijitie tafrani,na kunitoa thamani
Kwa vipi unibeue mara juu mara chini,humkumbuki manani
Chuki ziondoe kwangu yatizame yalo yako

Sabah Salum Muchacho

Uyu mwanamke ukija kwenye malove yumo, mipasho MashAllah.

Yani ananikosha hadiiiii
 
Abdalla issa:

Shangingi umetimuliwa
Na virago umefungiwa
Mchana na jua liko utosini
 
kwa raha zetuuuu
ila mie napenda taarabu za zamani akina "ewe njiwa" yani nakesha,,,ila modern taarab ziwe za mafundisho walahi ni fullu kujitikisa
 
Chukua na hii:

Ukiiiiiiiiiendekeza njaaaa,.................... Huendelei maishaaa,
Mungu kakuwashia taa,..................... Na afadhali ya maisha,

................................

Na hii;
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie
Ukitahamaki chini kachimba mumeo ninae mie
Ninae mie
chini kachimba ninae mie
 
Na hii;
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie
Ukitahamaki chini kachimba mumeo ninae mie
Ninae mie
chini kachimba ninae mie

Na hii je?
Nawashangaaaaaa hamchoki kusemaaaaaa, basi mtalalamaaaaaaaaaa hadi kiama
 
napenda miziki yote bila kuchagua, ila najiuliza kwanini watu wanamtizamo hasi namna hii kuhusu taarabu.
 
napenda miziki yote bila kuchagua, ila najiuliza kwanini watu wanamtizamo hasi namna hii kuhusu taarabu.

Ni wigo finyu tu wa kimawazo.

Watu kama hao wakitukuta wapenda sanaa kama sisi tumeikodolea Starry Night ya Vincent van Gogh wanaweza kudhani tumedata kumbe tupo deep katika fikra flani flani.
 
hahahahaha Nyani Ngabu . Ila tatzo kubwa ni umagharibi kutawala hadi fikra.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha Nyani Ngabu . Ila tatzo kubwa ni umagharibi kutawala hadi fikra.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha Nyani Ngabu . Ila tatzo kubwa ni umagharibi kutawala hadi fikra.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom