Acheni tu taarabu ni tamu, na zinafunza jamii haswaa!

taratibu inanogaga nikiwa nyuma ya limama lenye wezere kubwa na lainiii!
 
Mama Sabaha Salum Muchacho nampenda sana huyu mama kila siku nasikiliza nyimbo zake kuna sehemu anakwambia "Mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo"
 
Sio kusi kasikazi wema wangu bado,kwa neema yake jalari bahati haina siri muda wake ukifikia,muomba mungu kwa dhati husitirika,kila muomba mungu hatoki mtupu daima hata uwe sungusungu hata kunyima Bi mwanahawa ally weeeeee hapana chezea
hii nyimbo naipenda mno jamaa
 

Binti Magufuli uko wapi? Au Na Wewe unaisoma namba kiana flani hivi.
 
"Mtajibebaaaaaa, sihofu porojo zenu mtajibebaaaa, sihofu vishindo vyenu mtajibebaaaaaaaa, mmenipandisha mizukaaaaaa taire taireeeeeee.....................Wachezeya sumaku weye utanasa tuuuuu"

Wasomi msipite pande hizi uswahili tuachieni sie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mama Sabaha Salum Muchacho nampenda sana huyu mama kila siku nasikiliza nyimbo zake kuna sehemu anakwambia "Mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo"

Naukubali sana huo wimbo Mkuu, sema za zamani ndio zilikuwa kali hizi za siku hizi ni matusi tu.

Kuna nyingine inaitwa Macho Yake though hajaimba yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…