Taarabu za zamani bana
Ni bure zenu fitina, si wala hatuachanani
Wenyewe tumependana, kuachana ni muhali
Kumbe taarab ina kazi nyingi!
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"
Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli kweli na huwa hazichoshi kusikiliza. Mfano huyu mdada Leyla Rashidi verse zake zimeenda shule sana.
"Kizingiti cha manani ni mtihani kwa mja, hata uwe mashakani usisite kumtaja"
"Kauli ya molaaaaaaa silaha nzitoooo alipangalo ndilo litakuwaaaa"
Leyla Rashid & Jahazi Modern Taarab - Fungu La Mungu Sikosi - YouTube.
Hivi mnikumbushe na ule wa marupe rupe ndio unasemaje vile?
CC
Wapenzi wenzangu wa nyimbo za mwambao
Alokupa kiti wewe cha kukalia,kumbi akanipa mimi
Ni Mungu si mwenginewe usijitie tafrani,na kunitoa thamani
Kwa vipi unibeue mara juu mara chini,humkumbuki manani
Chuki ziondoe kwangu yatizame yalo yako
Sabah Salum Muchacho
mziki wa wambea na kuchambana
Ha ha ha!!!
Ni suala la kuona fursa na kuitumia tu besti...
Uyu mwanamke ukija kwenye malove yumo, mipasho MashAllah.
Yani ananikosha hadiiiii
Taarabu za zamani bana
Ni bure zenu fitina, si wala hatuachanani
Wenyewe tumependana, kuachana ni muhali
Chukua na hii:
Ukiiiiiiiiiendekeza njaaaa,.................... Huendelei maishaaa,
Mungu kakuwashia taa,..................... Na afadhali ya maisha,
................................
Na hii;
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie
Ukitahamaki chini kachimba mumeo ninae mie
Ninae mie
chini kachimba ninae mie
napenda miziki yote bila kuchagua, ila najiuliza kwanini watu wanamtizamo hasi namna hii kuhusu taarabu.
Sasa nime Prove kuwa wewe .........! kwa hiyo sipotezi timu yangu kukujibu!chezea uswahilini!
hivi hizi nyimbo huwa zinapigwa ile mitaa ya mbezi beach, masaki, na kwengine kwa wenye nazo?