Ni mgeni yupi.......? Mbona sijajua hizo habari ? Amekuja Kimya Kimya........?
Haaaah nijuavyo Arushaone atavimba kichwa balaa.
Jamani ukiingia mji wa watu tumeni hata PM kwa vingunge ili mambo yaende. Pole sana mleta mada ila Arusha tupo gado na wala hatubagui kabisa na hilo halitatokea labda kama ulibeep tu.
Karibu kwetu Chuga bana.
Mgeni ni miye hapa...nimekuja na timu yangu kuja kucheza mechi ya ligi kuu hapo Stadium
Ooh.......kumbe weye.......stadium imehamia Bomang'ombe ujue........
Hivi mgeni ni Tonykp au ni nani........? Unajua sijaelewa........?
Mbona wakati tunapita pale Boma sijaiona??
Shemeji mbona maneno mengi hivyo???
Halafu mtu wa kwanza kukutafuta ulikua ni wewe, kila nikipiga namba yako nikawa naambiwa "simu ya mteja umpigiaye imetumbukia kwenye maji, tafadhali jaribu tena atakapoikausha"
Uliangalia upande wa juu........?
Jamani jamani......simu yenyewe mbona nimeshaikausha.......? Ipo hewani 14/6....
Daddy hulali
Leo mpaka jua lichomize ndio nitalala...