Hujafika kwa HazardAliyepo Dodoma anipm achen uchoyo nimenunua suruali mpya ila holaaaa mpaka saivi.
Sijafunga pm karibuni.
Yani Mimi hata simu ya heri ya sikukuu sijapata.
Hujafika kwa Hazard
Yani Mimi hata simu ya heri ya sikukuu sijapata.
Kweli hali mbaya..ndugu zetu waislam mnakwama wap
Hawajui wewe ni shem wanguHahaha siyo mm ni Z
πππWanakwama somaliaaa
Hahahaa tunawachunia au vpXMASS SIO MBALI, TUTALIPIZA
TIT 4 TATHahahaa tunawachunia au vp
NakujaBebe mbona hufiki?