Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Alafu nimekuona sehemu umetuponda balaaa jaman wewe kaka nataka nikuchambe upo tayar?
Z [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Z [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mafurushi [emoji23][emoji23][emoji23]
Daaa hayo uyapate na chai ya rangii yenye tangawizi nyingii
Hahhhha naona kawafanyia maksudiAlafu hazard ana makusudi sikukuu ya watu anapika kitimoto
Bora hata wewe unayo magimbi[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si wamekataa kumualika, nae kaamua afanye makusudi.
Hahhhha naona kawafanyia maksudi
Itakuwa mzigua90 au Mama Sabrina maana leo hawaonekani kabisa.Jaman wananisingizia mm ningeshapost location.
Tusubiri subiri labda wakishiba watatukumbuka na sisi.
Hahahha mm ndio ninachokupendeagaJaman wananisingizia mm ningeshapost location.
Itakuwa mzigua 90 au Mama Sabrina maana leo hawaonekani kabisa.
Mimi kuna jirani yetu hapa katuletea pilau na mapochopochoYani Mimi hata simu ya heri ya sikukuu sijapata.
Mm mwenyewe nimefungua sijapata hata text ya salaam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie hivi siku ya muhimu kama leo nafungaje pm?
Hahahha mm ndio ninachokupendeaga
Dawa ya kiburi kusudi, ndicho alichofanya hazard cfcAna makusudi sana kwa kweli hahahahha