Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Vikirikuu vya buku jero ndio vinini hivyoJaman vikirukuu vya buku jero vitaniua kama hata nyama sijala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikirikuu vya buku jero ndio vinini hivyoJaman vikirukuu vya buku jero vitaniua kama hata nyama sijala
Sijala kitu maana nilikuwa na matumaini ya kualikwa mwenzio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutakagi kufa na mavitu moyoniMpaka kitanda ningeshakipiga picha before and after [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetengua mualikooHahaha siyo mm ni Z
Kila mtu apambane na skukuu yake
Huku mastatus naona tu mambuzi yamedondoshwa ila sasa tunakula kwa machoBado sijaelewa, tena hii sikukuu si ndio ile mbuzi wanaangushwa wa kutosha?
Dawa ya kiburi kusudi, ndicho alichofanya hazard cfc
Njoo zanzibar halafu useme imepoaIla sikukuu yao imepoa kweli sijui kwa kuwa ni katikati ya ☀️
Hapo tuu jamaniAuntie hizi ni dalili za uchoyo, kutoka nilipo ilitakiwa uniambie nianze safari ijumaa. Leo ilitakiwa nipo nakula tu[emoji57][emoji57][emoji57]
huniamini kwa niniTatizo wewe huaminiki, naweza jiandaa then ukanizimia simu[emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu nimekuona sehemu umetuponda balaaa jaman wewe kaka nataka nikuchambe upo tayar?
Una match leo?Yan nimekula hata sijui kama nitakula ugali Leo.
Uchawi sio lazima uvue nguo, huu nao uchawi mkuu. Yaani watu tunalia wewe unacheka[emoji134][emoji134][emoji134]