Acheni uchoyo jamani!!!!!

Acheni uchoyo jamani!!!!!

Mm mwenyewe nimefungua sijapata hata text ya salaam [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nialike tu nije ninywe hata kilimanjaro, si zinapunguza njaa?
 
Uchawi sio lazima uvue nguo, huu nao uchawi mkuu. Yaani watu tunalia wewe unacheka[emoji134][emoji134][emoji134]

Nimeshiba hatari, kuanzia jana sisi tulianza sikukuu ni pilau nyama,Leo jirani katuletea tena, Usijali Mida yenu watu wazima si jioni sisi tunaokaa nyumbani ndio muda wetu wa kujidai
 
Back
Top Bottom