Acheni uchoyo jamani!!!!!

Acheni uchoyo jamani!!!!!

Hii sikukuu imeangukia kwenye siku nzuri kwangu ila cha kushangaza sina mwaliko hata mmoja daah
 
Mkuu sikukuu yote hii[emoji134][emoji134]
Nimeona bora nibadirishe sio Kila sikukuu kula mapochopocho,
Nimealika wengi ila baada ya kuweka sinia ya ugali nikajikuta Niko peke yangu, ila umebaki mwingi tu😁😁😁
 
Back
Top Bottom