Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
hasa akishashiba...atasahau kua alikuja na njaa na hivi lile jina limemkaa kwenye koromeo Anaweza akawa anakula akang'ata jiwe bahati mbaya..Akaropoka ropooo (vyakula vya ma....... utavijua tu)Hahaha lile jina unalotuita humu usifikiri tunalipenda,,,limechangia sana wewe kukosa mialiko yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaweza kukaa mezani ukajikuta ushalitamka