Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Sijui ni stress za maisha umeshaambiwa hapa ni LOVE Connect mtu anatoka alikotoka anaanza kuwakosoa wanaosaka wachumba Mara wawakejeli sasa umefungua page hii ya nini kama huna positive motive.Credibility ya kumshambulua mtu anayetafuta mwenza hapa inatoka wapi, huna ushauri huna unalolijua unabaki.

Ooh mtaani hujawaona ulikuwa wapi siku zote Mara account yakoo imejaa all that shit for what? Are you insane_? Foolish or looser Pita fanya yako JF hawakukosea kuweka jukwaa kuna ulazima huyo kana tayari unaye shukuru sio kuja kuropoka na kukatisha watu tamaa, halafu utakuta mu huyo bado hata kuanzisha familia Pm nyingi za usumbufu za kulilia wachumba.

Yaani mnakera sana hapa watu wapo wazuri na wabaya kwani ukikutana na mtu mtaani au chuoni kama hamuendani ndo mtadumu? Hao watu wa Mitaani mavyuoni si ndo sisi au Zero Brain? Washamba wakubwa ebu kasafisheni macho hata kwenye Forums zingine za mahusiano.

Mpaka ndoa na ushuuda upo wa watu waliokutana humu Love Connect Afro introductions maana naona watu waasioelewa mmevamia kazi za watu.
 
Sound cool...haya mambo ya kutafuta wachumba..wenzi online ndo tunapoelekea.kama unadhani unahitaji zama za ujima ambao wote mpo kijiji kimoja mnaonana na kujuana mchumbiane usifungue jukwaa hili!
 
heeeee jf mahala pa kupunguzia sitiresi zako....
 
Sijui ni stress za maisha au ULOFA na UFALA. Umeshaambiwa hapa ni LOVE Connect....Lijituuu linatoka lilikotoka Bila hata kunawa linaanza kuwakosoa wanaosaka wachumba Mara wawakejeri...sasa umefungua PAGE hii ya nini kama huna positive motive..Credibility ya kumshambulua MTU anayetafuta mwenza HAPA inatoka wapi..huna ushauri huna unalolijua unabaki..ooh mtaani hujawaona ulikuwa wapi siku zote Mara account yakoo imejaa all that shit for what? Are you insane_?foolish or looser...Pita Fanya yako...JF hawakukosea kuweka wanajua kuna Ulazima huyo kana tayari unaye shukuru sio kuja kuropoka na kukatisha watu tamaa,halafu utakuta jitu hilo bado hata kuanzisha familia Pm nyiiingi za usumbufu za kulilia wachumba...yaani mnakera sana hapa watu wapo
wazuri na wabaya kwani ukikutana na MTU mtaani au chuoni kama hamuendani ndo mtadumu?hao watu Wa Mitaani mavyuoni si ndo sisi au Zero Brain?...washamba wakubwa...ebu kasafisheni macho hata kwenye Forums zingine za mahusiano mpaka ndoa na ushuuda upo...Afro introductions... Maana naona Mbulula mmevamia kazi za watu.Sitaki comment.

Niliwahi kulisemea hili. Mijitu mngine inakuwa mijinga sana humu? Wanawakejeli watu kila sekunde. Mipumbavu sana
 
Niliwahi kulisemea hili. Mijitu mngine inakuwa mijinga sana humu? Wanawakejeli watu kila sekunde. Mipumbavu sana
miaka ya nyuma hili jukwaa lilikuwa poa sana.Hiyo mijitu ya kuponda na kukejeli imeibuka siku za hapa karibuni.Nadhani wengi wao ni hawa kizazi cha Mulugo!! Mimi ni shuhuda rafiki yangu kapata mke mwema hapa huu mwaka wa tatu sasa ndoa yao ipo poa.Hawa wanaotukana na kuponda nadhani ni wale wamehamia humu kutoka Instagram,wanajiita team Kiba,Diamond,Wema nk.
 
Teh teh teh...yani utukane watu afu ujifanye hutaki comment?!!
We kweli pelege-mavi!...
Walio serious wanapata positive responses,wataozogoa za uso zinawahusu!
Period.
 
Teh teh teh...yani utukane watu afu ujifanye hutaki comment?!!
We kweli pelege-mavi!...
Walio serious wanapata positive responses,wataozogoa za uso zinawahusu!
Period.
Mkuu huwezi kuchangia bila ya kutukana?
 
Bora maana mijitu mingine pumbaaaaaaaaa mpaka bac au wanadhan upendo una fomula nn! Popote mke au mume anapatikana na maisha yanasonga vizur kabisa kwa kwel
 
miaka ya nyuma hili jukwaa lilikuwa poa sana.Hiyo mijitu ya kuponda na kukejeli imeibuka siku za hapa karibuni.Nadhani wengi wao ni hawa kizazi cha Mulugo!! Mimi ni shuhuda rafiki yangu kapata mke mwema hapa huu mwaka wa tatu sasa ndoa yao ipo poa.Hawa wanaotukana na kuponda nadhani ni wale wamehamia humu kutoka Instagram,wanajiita team Kiba,Diamond,Wema nk.

Mke si wako umejuaje ni mwema huu si ni uwongo acha umbulula.
 
Back
Top Bottom