Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

Acheni ujinga, kejeli humu, JF hawakukosea kuweka Jukwaa la Love Connect

Teh teh wasamehe bure..watu tumepata wachumba hum sas hivi tunasomesha
 
Sio wachumba tuu, unakuta mtu anaomba ushaur wa jambo ambalo linaweza likamkuta mtu yyt, lkn mijitu inayoandka post ikiwa chooni inaanza kejeli, inakera kinoma, mfn asubuh hii hii kuna mshkaji tu kaomba aelekezwe shule flan iv ipo huko bukoba amapangiwa huko, kuuliza tu hali ya mambo ilivyo kule ili labda ajipange kabla hajaenda mijitu ikaanza kutengeneza perception zao na kuanza kumshambulia, Ifke mda humu namo tukague vyeti
 
Ooooh this is nice.Mtu anaponda wanaosaka wachumba lakini aksante akiamka anaweka bundle kwa jili ya hili jukwaa.Sasa ajabu na kweli Majukwaa yapo mia kidogo hajafungua la mapishi akajifunze kalmati na vitumbua anabakii 'nakushauri ndugu yangu usitafute wachumba humu utaliwa hela..Ebo wa mtaani aombi hela..Hakuna uchumba uliovunjikwa wa watu waliosoma pamoja?waliokulia mtaa mmoja??yaani Elimu ni Ukombozi wa fikra!
 
Watu wanashindwa kuelewa dunia imekuwa ndogo sana kwa technology iliyopo sasa. Social media inatajirisha watu social media ni ajira kwa wengi kwa nini social media isiwe njia ya kuunganisha watu wakafahamiana wakapendana wakaoana. Kuna watu wana kejeli kama sio matusi badala ya msaada au kutiana moyo. Tubadilike kutafuta mchumba mwenzi mke mume rafiki ndani ya JF sio jambo la ajabu tutumie akili zetu vizuri tulizopewa na Mungu na tulizoongezewa mashuleni. Ukiona mada haikuhusu potezea walianzisha jukwaa hizi si vichaa au walevi ! Kuna Love Connect za kulipia pesa nyingi sasa hii ya bure kejeli nyiiiingiWell said mtoa mada.
 
Sijui ni stress za maisha umeshaambiwa hapa ni LOVE Connect mtu anatoka alikotoka anaanza kuwakosoa wanaosaka wachumba Mara wawakejeli sasa umefungua page hii ya nini kama huna positive motive.Credibility ya kumshambulua mtu anayetafuta mwenza hapa inatoka wapi, huna ushauri huna unalolijua unabaki.

Ooh mtaani hujawaona ulikuwa wapi siku zote Mara account yakoo imejaa all that shit for what? Are you insane_? Foolish or looser Pita fanya yako JF hawakukosea kuweka jukwaa kuna ulazima huyo kana tayari unaye shukuru sio kuja kuropoka na kukatisha watu tamaa, halafu utakuta mu huyo bado hata kuanzisha familia Pm nyingi za usumbufu za kulilia wachumba.

Yaani mnakera sana hapa watu wapo wazuri na wabaya kwani ukikutana na mtu mtaani au chuoni kama hamuendani ndo mtadumu? Hao watu wa Mitaani mavyuoni si ndo sisi au Zero Brain? Washamba wakubwa ebu kasafisheni macho hata kwenye Forums zingine za mahusiano.

Mpaka ndoa na ushuuda upo wa watu waliokutana humu Love Connect Afro introductions maana naona watu waasioelewa mmevamia kazi za watu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Back
Top Bottom