Wanasimba acheni tabia za kike!!! Uamuzi walioufanya Yanga uwe na hasara au faida unawahusu Yanga. Ifike wakati mtumie akili msitumie makalio kufikiri. Simba ni mbovu sana yangu kukodisha timu kwa mwanachama mwenzao mnaumia nn? Hasara watakaoipata au faida hakuna mtakachopewa. Iandane timu yenu iwe nzuri, jana mmecheza bonanza na timu iliyoko nafasi ya 11 ktk ligi ya Kenya eti leo mnatamba Hakika Waafrika hatutumii ubongo kuwaza bali twatumia makalio.... Badilikeni bwana wazee wa moooooooo... Moooooooo. Moooooooo kama ming'ombe ipo zizini