Acheni umbeya

Acheni umbeya

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
602
Reaction score
2,506
Wanasimba acheni tabia za kike!!! Uamuzi walioufanya Yanga uwe na hasara au faida unawahusu Yanga. Ifike wakati mtumie akili msitumie makalio kufikiri. Simba ni mbovu sana yangu kukodisha timu kwa mwanachama mwenzao mnaumia nn? Hasara watakaoipata au faida hakuna mtakachopewa. Iandane timu yenu iwe nzuri, jana mmecheza bonanza na timu iliyoko nafasi ya 11 ktk ligi ya Kenya eti leo mnatamba Hakika Waafrika hatutumii ubongo kuwaza bali twatumia makalio.... Badilikeni bwana wazee wa moooooooo... Moooooooo. Moooooooo kama ming'ombe ipo zizini
 
Acha Uongo ww bajaj fc leopards ni ya 9
 
Haijauzwa kaka, imekodishwa tu, ni mfumo wa kibiashara...hawawezi kupenda mafanikio ya yanga na haitakuja kutokea... Yanga mbele daima, nyuma mwiko. Mkia haukai mbele ndg yangu..
 
Back
Top Bottom