haiwezekan mwanaume jipande la mtu unakaa ndani ya ist au vitz bwana.
unakuta mwanaume limeshiba c mchezo linapanda ndani ya vitz mpaka inabonyea upande mmoja. hahahahahahaha
Nauza Toyota Ist wakuu rangi nyeusi usajili T231BCC mwenye kuitaka ani PM bei million saba
Anaeshindia dollar moja kwa siku hafikirii gari achilia mbali kununua! Na wewe una akili kama wazungu wasiowahi kutoka nchini mwao?! Ukiifikiria TZ inakujia picha ya watu wa dollar moja kwa siku!?
Hivi hujui hao wa dollar 1 ndio majority?? Labda ni 99% mkuu, maisha ya bongo badoo sana dogo tembea uone sio unashinda hapo samaki samaki unaona umewin maisha kumbe badoo!!
Leo nimeipata ingine toka hapa job kua ukiona mwanaume anapenda magari makubwa 4x4 ujue ana kibamia sasa akiwa na hilo gari ni kujitutumua ili aongeze confidence kwa kibamia chake.. Hizo ni nyepesi nyepesi za hapa job leo.... Huko bongo mpo??? Mie sipo bongo niko kwa jaluo!!
Gari za kike ni zile zinazogaiwa bure tu kama zipo
kama gari inanunuliwa kwa pesa na pesa haina jinsia basi gari za kike hakuna..
Unaweza kukuta mtu ana Vits ya milioni 24 na mwingine ana Benz ya milioni 10
sasa 'uanaume' ni upi hapo?
Leo nimeipata ingine toka hapa job kua ukiona mwanaume anapenda magari makubwa 4x4 ujue ana kibamia sasa akiwa na hilo gari ni kujitutumua ili aongeze confidence kwa kibamia chake.. Hizo ni nyepesi nyepesi za hapa job leo.... Huko bongo mpo??? Mie sipo bongo niko kwa jaluo!!
Socially, kuna magari ya wanaume na wanawake na wala sio magari ya kike wala ya kiume; ila biologically yeyote anaweza kuendesha gari lolote bila kujali kama ni mwanaume ama mwanamke. Nakuuliza swali ili: hivi kuna nguo ya mwanamke na mwanamme? au viatu vya wanawake na wanaume? Kama hakuna nakuomba kuanzia kesho uvae gauni (aha aha aha) kwani si linasitiri mwili, na viatu vya mchuchumio!!!
Wenzio wanaongea kwa mtazamo wa socially; halafu sio kila anayetoa hoja humu ndani physically yuko Tanzania kijana.