Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Nauza Toyota Ist wakuu rangi nyeusi usajili T231BCC mwenye kuitaka ani PM bei million saba
 
Wanawake wa mujini sasa hivi wanataka Prado, Range Rover Sport. Murano n.k yaani hizo IST siku hizi big NO kwao.
 
pamoja na kwamba humu jf hatujuani jinsia zetu, lakini unaweza kujua jinsia ya mtu kwa kusoma coment yake tu.
 
kiuhalisia hakuna Gari ya kike lakini kimuonekano au kimtazamo kigari kama vitz anapendeza akiendesha mwanamke tena awe na kamwili kadogo.
pia mwanamke hapendez kabisa kuendesha land cruiser .
vitz, spacio ractis Nadia zinawapendeza sana wanawake lakini sio wanaume
 
haiwezekan mwanaume jipande la mtu unakaa ndani ya ist au vitz bwana.
unakuta mwanaume limeshiba c mchezo linapanda ndani ya vitz mpaka inabonyea upande mmoja. hahahahahahaha
 
haiwezekan mwanaume jipande la mtu unakaa ndani ya ist au vitz bwana.
unakuta mwanaume limeshiba c mchezo linapanda ndani ya vitz mpaka inabonyea upande mmoja. hahahahahahaha

hahah!.
 
Wale wa gari za Harusi....... Tupo kufanya Harusi yako ipendeze. Pig@ 0712999090
 
Attachments

  • 1432005007230.jpg
    1432005007230.jpg
    105.9 KB · Views: 219
  • 1432005031551.jpg
    1432005031551.jpg
    161.3 KB · Views: 195
  • 1432005056289.jpg
    1432005056289.jpg
    155.7 KB · Views: 187
Leo nimeipata ingine toka hapa job kua ukiona mwanaume anapenda magari makubwa 4x4 ujue ana kibamia sasa akiwa na hilo gari ni kujitutumua ili aongeze confidence kwa kibamia chake.. Hizo ni nyepesi nyepesi za hapa job leo.... Huko bongo mpo??? Mie sipo bongo niko kwa jaluo!!
 
Anaeshindia dollar moja kwa siku hafikirii gari achilia mbali kununua! Na wewe una akili kama wazungu wasiowahi kutoka nchini mwao?! Ukiifikiria TZ inakujia picha ya watu wa dollar moja kwa siku!?

Hivi hujui hao wa dollar 1 ndio majority?? Labda ni 99% mkuu, maisha ya bongo badoo sana dogo tembea uone sio unashinda hapo samaki samaki unaona umewin maisha kumbe badoo!!
 
Hivi hujui hao wa dollar 1 ndio majority?? Labda ni 99% mkuu, maisha ya bongo badoo sana dogo tembea uone sio unashinda hapo samaki samaki unaona umewin maisha kumbe badoo!!

Usitoke nje ya mada na kuwa personal, anaeshindia dollar moja kwa siku hazungumzii magari wala kuwaza kununua.
 
Leo nimeipata ingine toka hapa job kua ukiona mwanaume anapenda magari makubwa 4x4 ujue ana kibamia sasa akiwa na hilo gari ni kujitutumua ili aongeze confidence kwa kibamia chake.. Hizo ni nyepesi nyepesi za hapa job leo.... Huko bongo mpo??? Mie sipo bongo niko kwa jaluo!!

umeulizwa? acha kisabengo ndugu yangu
 
Gari za kike ni zile zinazogaiwa bure tu kama zipo
kama gari inanunuliwa kwa pesa na pesa haina jinsia basi gari za kike hakuna..
Unaweza kukuta mtu ana Vits ya milioni 24 na mwingine ana Benz ya milioni 10
sasa 'uanaume' ni upi hapo?

vits ya m24?? anyway ngoja nikuibie siri mkuu kwani mwanamke hata abebe vyuma kias gani anaweza kuwa mwanaume?
 
Umenunua gari ya kike???😕

Nyie ndo mnaotaka kitu cha kike mpk kiandikwe jina. Basi vaa bikin.. Maana haijaandkwa kuwa ni ya kike.. Na imenunuliwa kwa hela ambayo haijaandkwa ni ya mwanamke.. Na huenda ikawa inauzwa ghari kuliko boxer ya kike
 
Leo nimeipata ingine toka hapa job kua ukiona mwanaume anapenda magari makubwa 4x4 ujue ana kibamia sasa akiwa na hilo gari ni kujitutumua ili aongeze confidence kwa kibamia chake.. Hizo ni nyepesi nyepesi za hapa job leo.... Huko bongo mpo??? Mie sipo bongo niko kwa jaluo!!

warombo wengi wenye hela wana 4x4 unataka kusemaje? :becky:
 
Socially, kuna magari ya wanaume na wanawake na wala sio magari ya kike wala ya kiume; ila biologically yeyote anaweza kuendesha gari lolote bila kujali kama ni mwanaume ama mwanamke. Nakuuliza swali ili: hivi kuna nguo ya mwanamke na mwanamme? au viatu vya wanawake na wanaume? Kama hakuna nakuomba kuanzia kesho uvae gauni (aha aha aha) kwani si linasitiri mwili, na viatu vya mchuchumio!!!

Wenzio wanaongea kwa mtazamo wa socially; halafu sio kila anayetoa hoja humu ndani physically yuko Tanzania kijana.

amekusoma mkuu ila hii ya mwisho hapa haikua muhim sana walau kwa leo tu
 
Back
Top Bottom