minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hakuna gari ya kike bali kuna gari ambazo ni za kike. i.e feminine
Kuna Gari ambazo hupendwa na wanawake na pengine ni rahisi kuziendesha na kuzihudumia , hata wale Ma-buzi wapenda kununulia wanawake magari huwa hawanunui Defender, TaTa, Vx na magari makubwa ya Manual, Hata kupenda Dezo Dezo napo kumesababisha hii kasumba kusamaa. Wapo wanaume ambao wanapata shida sana kupata Pesa kununua Gari na Hao Hao wakisikia Mtu anaifananisha Gari na ya kike huchukia sana, Lakini watengenezaji magari wao hawajabagua Umilikaji wametengeneza kwa Ajili ya jinsia zote, japo kuna magari kama maroli pickup nk wanawake wenyewe hawayapendi.