Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Hakuna gari ya kike bali kuna gari ambazo ni za kike. i.e feminine

Kuna Gari ambazo hupendwa na wanawake na pengine ni rahisi kuziendesha na kuzihudumia , hata wale Ma-buzi wapenda kununulia wanawake magari huwa hawanunui Defender, TaTa, Vx na magari makubwa ya Manual, Hata kupenda Dezo Dezo napo kumesababisha hii kasumba kusamaa. Wapo wanaume ambao wanapata shida sana kupata Pesa kununua Gari na Hao Hao wakisikia Mtu anaifananisha Gari na ya kike huchukia sana, Lakini watengenezaji magari wao hawajabagua Umilikaji wametengeneza kwa Ajili ya jinsia zote, japo kuna magari kama maroli pickup nk wanawake wenyewe hawayapendi.
 
Huo Wote Ujinga Kabsa, Ivi Mnatumia IQ Au?? poor brain? kwa nn umdharau mwanaume mwenzako ambaye na yeye baada ya kufanya biashara au kulima na kufnkiwa ameamua kupiga hatua?? yaan mwanaume mwenye mchepuko kwa wake za watu ni bora kuliko anaenunua vitz??? nawakemea ktk Jina La Yesu Kristo, Mshindwe
 

Ni kweli Neno kike ni Tusi kwa mwanaume lakini huyo huyo mwanamke anaweza kuhongwa Gari kwa Siri kisha akamzuga mume wake kuwa amekopeshwa kazini kwake , na Hilo Gari la mchepuko Mwanaume anajiachia humo humo, wanunuzi wa magari ya michepuko ndiyo wamechangia kueneza hii dhana, kwani wengi hununua Gari karibia za Aina moja yaani zile gari za bei poa na rahisi kuzihudumia, hata Mafundi magari huwapenda sana wanawake kutokana na Uelewa Mdogo juu ya Matatizo ya Magari na Hivyo kuwa rahisi kuwaibia pesa kwa kuwabambikia Magonjwa feki kwa hizo Gari na inakuwa rahisi Buzi kulihudumia Gari kuliko kama ingekuwa Vx ingekuwa Taabu, kwa kifupi Gari zote ni kwa Jinsia zote lakini Michepuko ndiyo imesababisha baadhi ya magari kuonekana ya kike.
 
Unatembelea starlet nn mana kuna rafiki yangu kamnunulia demu wake kama hiyo
 

Bora niiuze maana masimango yamezidi.....mpaka KikulachoChako!!!!!
 

Attachments

  • 1431059705274.jpg
    48.6 KB · Views: 463
Last edited by a moderator:
nissan murano ya mwaka 2006 inaweza ikawa na bei gani show room
 
Gari za kike ni zile zinazogaiwa bure tu kama zipo
kama gari inanunuliwa kwa pesa na pesa haina jinsia basi gari za kike hakuna..
Unaweza kukuta mtu ana Vits ya milioni 24 na mwingine ana Benz ya milioni 10
sasa 'uanaume' ni upi hapo?

Flabbergasting.....
 

You made my first smile of the day...
 
Siwezi kuendesha ist, au vitz kutokana na urefu wangu futi 6.5 ngoko cz zinagusa mpka kwenye kioo kichwa kinagusa juu ya bodi... Mke wng chukua rav 4, mimi vx naendesha na relax vzr..... Vigari vingine kwa mwanaume ni dharau tu

idadi kubwa ya watanzania si warefu kama wewe na watoa pesa hususani kwenye Michepuko huwa hawaangalii Umbo la Mrembo, wapo warembo warefu sana wamechepuliwa wakaishia kununuliwa hizo gari wanakunja miguu humo humo wanafika kokote watakapo. Watu waliosababisha hili Neno Gari za Kike kusambaa ni wapenda michepuko kutokana na kuwalazimisha michepuko yao kuwanunulia Gari za aina Fulani kiasi cha kupelekea wanawake wengi kuonekana wanazimiliki
 
Waseme za kike za kiume mimi.ndiye nitatafsiri.kuwa hii ya kike au ya kiume.
 
Kwa mtazamo wangu binafsi:
Lincoln/Buick = Retireees or pensioners

Suzuki = Folks with bad credit.

Kia = Unsuccessful young college graduates still chasing the dream

Bmw = young guys with good careers

Mercedes = professionals with advancing careers.

Hammer = hustlers, dope sellers

Hondas = folks with regular jobs

Toyotas = same as Hondas

Porsche = stock traders, brokers, analysts, living the dream

Lexus = ladies with good or 6 figures career mostly

Acura = folks with fairly good careers

Vw-Beetle = ladies, milf

Fiat 500 = young ladies

Mini minor = ladies

Mitsubishi = folks with mediocre jobs

Nissan = folks with ok jobs

Magnum = hustlers mostly from the hood/niggaz n bitches

Subaru = nerds esp college lecturers, intellectuals etc

Gmc, Yukon = suburban folks, soccer moms

Ford = folks with ok but not so successful careers

Cadillacs = fairly successful folks

Maserati/Feraris/Bugatti = pro athletes, high rollers, rich folks etc living the dream

Range Rover = high rollers

Hyundai = folks with mediocre careers

Bentleys = high rollers mostly from Hollywood
 
Izo gari ulizostaja ndo gari zinazoongoza kwa wanawake wengi kuhongwa na ndo wanawake wengi wako nazo
 
Wewe ni mshamba kabisa, kwani kua la kike ni kosa ama kua la kiume? Msidharau wanawake na mifumo dume yenu. Ukiambiwa la kike kuna shida gani kama ww ni mwanaume?
 

Nerds need to drive high tech cars, and what are mediocre job BTW?

I'm suzuki man but not as you profound
 
Hata mkijitetea vipi hizo garii ni zakike..waachieni dada zenu, wake zenu, mademu zenu na mabint wauza sura..

Madume tunaskuma manual transimision 4x4..

c.red
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…