bissmark marktosh
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 233
- 47
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari,kwamba magari kama Toyota Passo,Vitz,IST,Starlet,na n.k ni magari ya kike.
Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya kike watoe ushahidi,ni wapi ambako chombo cha moto kimeandikwa kuwa:
A Vehicle Special for female au for male?
Acheni Ushamba nyie watanzania ambao hamjui lolote ktk Dunia hii yenye mambo mengi na mazito.
Tanzania isiyotengeneza hata sindano eti wananchi wake wanadharau magari yanayotengenezwa nje na kuya Classify kuwa hili ni la kike na lile ni la kiume,huu ni ujuha wa hali ya juu.
Watanzania ambao hata kula yao ni shida kwa siku eti nao wanabagua magari,kwa lipi?
Ukienda,Japan,US,UK,Germany,Sweden na popote duniani ambako wanatengeneza magari,hawawezi kukuambia kuwa hili ni gari la kile na lile ni la kiume.
Siku zote maskini ni mtu anayejiona ni bora kuliko wote japokuwa hana lolote,Sasa wewe umehangaika ukapata vipesa vyako unanunua gari anakuja mjinga anakuambia ni la kike,wapi imeandikwa kuwa ni la kike,Ujinga uliokithiri.
Gari za baby class mm hiyo siendeshi wanaojifunza wakanunue ila Mara nyingi huwa nahonga maana ni gari za bei ndogo sana ndiyo maana mademu wengi wanazimiliki kwa kuhongwa vitu vya maana ni UK, USA na Grmn ukishuka kwa gari daaah hadi rahaa
Wewe ni mshamba kabisa, kwani kua la kike ni kosa ama kua la kiume? Msidharau wanawake na mifumo dume yenu. Ukiambiwa la kike kuna shida gani kama ww ni mwanaume?
nissan murano ya mwaka 2006 inaweza ikawa na bei gani show room
Hebu tufanyeni kitu muhimu kitakachomaliza ubishi wote, kila aliyejadili na atakayejadili aweke na picha ya mchuma wake hapa
Jamaa alichungulia chini ya gari Jiefong ya mchina akaona dif kubwa. Alipoinuka akasema duh kumbe ndume hii!
Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way!
So magari yasio na propela ni ya kike??
Nahisi kama vile unaishi na dadako mwenye hiyo gari tena mbaya zaidi ends ikawa kahongwa au unavaa shanga mbona unatete sana akinadada au ndo unatumwaga nalo kuchukua nguo za bwashe dry cleaner wakati ametoka kupigwa ngabu dadako?gari zimetengenezwa kwa ajili ya kupunguza garama kwa wanaume wahongaji tusipate hasara kubwa ila gari za kiume zinajulikana
Real man
Jerrymsigwa mimi sina gari kwakweli naomba tu kuwa mkweli katika hiliUmenena kaka anza wewe sasa