Acheni Ushamba, Hakuna gari za kike wala za kiume

Hili la umaskini haliwezi kuondoa uhalisia wa jambo kama gauni ni vazi la kike
litabaki kuwa la kike tu hata kama unaishi Pangoni.
 
Kuna gari za kike na za kiume. Hata yule mtengenezaji wa magari anajua kabisa hili gari nalitengezeza maalumu kwa soko fulani. Kuna magari yanatengenezwa kwa ajili ya wenye pesa nyingi. Kwa hiyo usishangae kuona kuna magari ya kike. Mfano redds ni bia iliyotengenezwa maalumu kwa wanawake. Ingawa wapo wanaume wanakunywa. Pia yapo magari yametengenezwa kwa ajili ya akina mama ila wanaume wanaendesha
 
Hahaha wabongo bana!! kwahiyo kila gari ndogo ni ya kike na kila gari kubwa ni ya kiume!! Mfumo dume hadi kwenye magari
 
Gari zenye mwonekano wa kiume na wakike hivi vijigari tudogo ni vyawanawake mwanaume kuendesha hiyo huna tofauti na kujipaka lipstick uwe na mwonekano wa like wakati ni wakiume
 

Watu kama wewe wanazaliwa kwa mwaka Mara moja umenena big up
 
Jerrymsigwa mimi sina gari kwakweli naomba tu kuwa mkweli katika hili

Kama huna gari ice cream na wazungu wapi na mm kukaa ulaya cyo kuwa wewe mwerevu sana ni ushambaa uliokujaa Niko nyumbani najenga taifa langu wewe kula butter kwa kutuma picha za wazungu huku hata nyumbani kwenu umeshindwa hata kupiga rangi ya nyumba ya familia yenu unasema uko ulaya shame on you!
 
Last edited by a moderator:
ila IST yakike kabisa ile.. hata taa /macho yake yanafanana na sepenga vile vle
 

Watu kama wewe ni adimu sana humu ndani asante
 
Mtashika sana bomba za daladala,pamoja na kuomba lift,Range Rover,na Vitz zote zinakwenda shell,asilimia 80% ya wachangiaji hapa ni #DALADALa

Tunajipanga kununua magari ya cyo ya kike ndo maana tuko kwenye dala dala vitz yako uliyonunua mikononi mwa watu itakutese sana
 
Gari zenye mwonekano wa kiume na wakike hivi vijigari tudogo ni vyawanawake mwanaume kuendesha hiyo huna tofauti na kujipaka lipstick uwe na mwonekano wa like wakati ni wakiume

Tukisimama mimi na wewe kuna uwezekano mkubwa ukabadili kauli yako maana unaweza kujikuta unakua wa kike kimuonekano.
 

Unatoka kwenye mada unaingia kwenye michambo. Wa hivi ndio waleeeeee!!
 

Hapo kwenye Redds umeua
 
IST ni ya wanawake kabisa. Wanaume wanakataa tu kwa sababu wamenunua tayari. Waachieni wenyewe wanahangaika usafiri, nyie mmeng'ang'ania gari zao msibishe.
 

We utakuwa una IST, si bure.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…