mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
nawe ungeweka boxa ambayo si yake chini ya mto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli umeikuta hio.... jua mumeo anataka usepe ila hana guts za kukuambia.....
Anakuta iliyochoka ya mwanaume au mwanamke?
Mumeo anatoka safarini unapotoa nguo kwa sanduku unakutana na chupi iliyochokachoka ambayo si yako. Ukiwa mwanandoa utafanyaje?
not necessarily..inawezekana ni mtu mwingine tu
amei plant kuanzisha zogo....labda ex wa mumeo?mawifi wakorofi...
cd ambae mumeo hakumlipa huko njiani?lol
anyone can do it for differents reasons...
but mwanamke wa kweli aache chupi kwa mume wa mtu?sidhani..
Uamuzi utakaochukua utategemeana sana na kazi ya mumeo. Sioni sababu ya kukimbilia kufikiri kuwa mumeo ni mzinzi. Nitajieleza kidogo:
1) Inawezekana mumeo ni mwanasheria, na hiyo chupi aliyorudi nayo ni kielelezo cha kumsaidia katika kesi ya ubakaji anayosimamia
2) Au mumeo ni mwanasayansi/ mtaalam wa magonjwa ya akina mama. Chupi aliyorudi nayo( chafu/choka) itamsaidia katika uchunguzi flani flani wa maabara kuhusiana na ugonjwa wa mteja wake.
3) Au mumeo ni Ngariba; Mteja kasahau chupi kwake
4) Pengine katika ile mipango yenu ya kufanikiwa kirahisi kimaisha; mumeo katumwa na mganga wa kieneyeji apeleke chupi ya ajuza. Sasa je?
Mwanaume ambae ni true infidel hua wako makini saana in following all the rules in the infidel book - anajua kua mwanamke alokua nae is capable of anything... and you more than anyone else will point out kua kama kweli mwanaume kacheat; anahakikisha kila kitu kipo poa, yaani atajicheck kuanzia yeye mwenyewe... nguo... sanduku kuangalia kama kuna any tell-tale signs kua he has done that! Labda kama anajifunza/anaiga kucheat.
Na mwanamke infidel je?
The same NN.... Ila tu mwanamke ambae ni infidel... Majority hata awe careful hukamatwa mara moja....
Huh? That's a first!
I always hear that women are more smarter/ careful than men when it comes to cheating and that's why they never get caught as much as men do.
But you are telling me it's the opposite!
Kama kweli umeikuta hio.... jua mumeo anataka usepe ila hana guts za kukuambia.....
Believe me you…. Men are smarter when cheating, what makes the ladies not being caught is because in most cases if a lady cheats she feels guilty and rarely repeats the mistake….
My former comment was drawn from an assumption of; if a Man and Woman cheat with the same person for long a lady is more likely to be caught than the man. BUT if we do talk of one night stands that is a whole lot of another matter and both cannot be caught if smart.
(I am curious thou why you perceive it otherwise)
Wala usiondoke mwache afanye visa vyake! akichoka ataacha, akiendelea kaa kimya siku ambayo hajui ndiyo wewe unakula kona!!!
Interesting perspective!
The reason I perceive it to be otherwise is because that is the conventional wisdom (at least as far as I knew).
That surely tells me we live in two different polar positioned societies..... For I too drew that out of conventional Wisdom....
Even more interesting....
Uamuzi utakaochukua utategemeana sana na kazi ya mumeo. Sioni sababu ya kukimbilia kufikiri kuwa mumeo ni mzinzi. Nitajieleza kidogo:
1) Inawezekana mumeo ni mwanasheria, na hiyo chupi aliyorudi nayo ni kielelezo cha kumsaidia katika kesi ya ubakaji anayosimamia
2) Au mumeo ni mwanasayansi/ mtaalam wa magonjwa ya akina mama. Chupi aliyorudi nayo( chafu/choka) itamsaidia katika uchunguzi flani flani wa maabara kuhusiana na ugonjwa wa mteja wake.
3) Au mumeo ni Ngariba; Mteja kasahau chupi kwake
4) Pengine katika ile mipango yenu ya kufanikiwa kirahisi kimaisha; mumeo katumwa na mganga wa kieneyeji apeleke chupi ya ajuza. Sasa je?
Na mnavojua kufarijiana!!! Yaani chupi ya mteja ndo ipangwe sawasawa na nguo zako?? Wewee.......hujaniokota akili kizembezembe hivyo!!! Otherwise, nipe documents niverify na bila signature hujaniambia kitu, alafu hakuna kusingizia kuwa umeacha ofisini! Hiyo reason ya mwisho utanieleza vizuri kama ulienda kumbaka huyo ajuza ndo upate iyo chupi na nitakusindikiza hadi kwa huyo ajuza ili umrudishe! Yaani mi uniletee sababu za hivo kabisaa.......!