Why unahitaj kuikamilisha? Kwan kuna kitu unakikosa?Hivi unaikumbuka mission yangu? Unadhan itaafanikiwa kwa kubaniana huku?
Hahaha hivi lazima ukose kitu? Ngoja nitakupigia simu tuongeeeWhy unahitaj kuikamilisha? Kwan kuna kitu unakikosa?
Madame S
Hahahaaa mama komaa nao waache kutusumbua..ata sisi ni wahenga sema tulichelewa kujulikanaMara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji[emoji50][emoji50][emoji50]. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi[emoji24][emoji24]ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.[emoji24][emoji24][emoji24].
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipigie tuHahaha hivi lazima ukose kitu? Ngoja nitakupigia simu tuongeee
Mungu wangu mtaniua kwa presha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipigie tu
Madame S
Hahaha hivi lazima ukose kitu? Ngoja nitakupigia simu tuongeee
Relax my wii, hata usife kwa presha na sitaki ufe nataka uishi, muishi miaka mia nane
Ngoja niongeee na Dada
Hapo sawaaa. Maana mngekaa kimya bila kunitoa hofu nusu SAA tuu ningekufaRelax my wii, hata usife kwa presha na sitaki ufe nataka uishi, muishi miaka mia nane
Madame S
Ngoja niongeee na Dada
Rubii umenitukania mume wangu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Enjoy mwayaaa[emoji8]
Hata bwana wa maana hakuna ni vichupkunuka tu[emoji86] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mom..Hahaha Baby Doll usitikiswe na maneno ya JF mdogo wangu,kuna watu humu walianza kuota meno ya juu ni wakorofi balsa,you my Likes karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafadhali ondoa mawazo hayo hayafai kabisa my wiiHapo sawaaa. Maana mngekaa kimya bila kunitoa hofu nusu SAA tuu ningekufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapambane tu na hali zao amna namnaWananiweza sasa.[emoji16][emoji16][emoji16]
keep calm, its my birthday
[emoji87] [emoji87] poleeeRubii umenitukania mume wangu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mzee wa vyura, sikupati pitch unafananajeMgeni chura ipo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiHadi imebidi nidhibitishe kama umejiunga Jana.
Karibu sana jf.
Onyo
sumbai ni Mume wangu akikufuata huko pm usimkubali.
Sent using Jamii Forums mobile app