Nimeagiza supu hapa Ramada so niwape ur name waja lipia eeeeh.... lolKama bado haujanywa chai, pata supu hotel yoyote ya kimataifa nakuja kulipa.[emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna moja hapo juu lina midevu kama kambale[emoji23][emoji23][emoji23].
Limeanza kutumia smartphone na Internet baada ya kununuliwa simu na wajukuu[emoji16][emoji16][emoji16] mwaka juzi.
Watatuelewa tuu.
Hawataki wageni wamekuwa Melo?[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Nimeagiza supu hapa Ramada so niwape ur name waja lipia eeeeh.... lol
eti lina midevu kama kambale nimecheka na kumvutia picha kambale alivyo nimecheka zaidi.
Watatuelewa tuuuuuuuuu[emoji123] [emoji123]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Haha wewe jamaaMgeni chura ipo?