Acheni Wivu.

Tatizo nyie wageni mna mambo ya kitoto sana ...mmefanya heshima ya jf kushuka mnoo. Mna anzisha mada za ajabu ajabu tu mradi upate izo likes na comment nyingi.

Angalia kama hii iliyoanzishwa ..upuuzi mtupu tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]

(Natania jamani sipo siriyasi.)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ulevi wako na mm nataka nikusaidie maana nimeambiwa unatumia ugoro mbichi

washa penzi kama moto babydoll$connor
Una experience sana na hayo mambo nenda sober house kigamboni utasaidiwa au pili misana
 
Wewe tulia,[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…