Acheni Wivu.

Acheni Wivu.

Hawa mber kutoka badoo wanakuja kwa kasi kipande hichi.

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante rubii [emoji8][emoji8]
Kweli yani watu wabaguzi utadhani mtoto wa kambo ameletwa kwenye familia yao.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani nyie watu Mimi sitafuti bwana.kuweni na amani.
 
Ha ha ha Shunie Cheka tuu...
sumbai namjua..
Unakumbuka kule maeneo Fulani fidodido mmoja alikuwa anakufananisha na Mimi?
Sumbai alivyofurahia alitamani afanye kweli.
Hivi hakukufuata kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah nakumbuka jaman hawezi nifata sumbai naheshimiana nae sana jama ila alikuwa anafurahia kumbe ulimuona
 
Back
Top Bottom