YouTube upo angaliaSasa wimbo upo wapi mzee baba?
AhahaahTuwekee nyimbo na sisi tusikie wengine tunapoishi hakuna radio wala huyo darasa hatumjui
Vijana mkipgwa na maisha kila kitu kinachokuja akilini mwako ni unaona ni sawaa,mbna mm cjasikia verse yoyote ambayo maguful anapondwa? acha uzwazwa mkuuNimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka kukimbia huna break ","uji hutaki chai hutaki " huu wa saiv "achia njia" kuna sehemu ana sema " acha kuchimba watu kachimbe madini", line nyingne " umeshndwa kujenga viwanja ukaenda relini " huu wimbo ni direct kick kwa magu eb usikilize mkuu utanambia,nan ako targeted?
Sio dhambii baba swalehe jamani simjui mimi
Umetumwa Wewe.NyambaffNimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka kukimbia huna break ","uji hutaki chai hutaki " huu wa saiv "achia njia" kuna sehemu ana sema " acha kuchimba watu kachimbe madini", line nyingne " umeshndwa kujenga viwanja ukaenda relini " huu wimbo ni direct kick kwa magu eb usikilize mkuu utanambia,nan ako targeted?
Be careFOOL , ur nonsense won't make u a hero.Umetumwa Wewe.Nyambaff
OK powerfool,Vijana mkipgwa na maisha kila kitu kinachokuja akilini mwako ni unaona ni sawaa,mbna mm cjasikia verse yoyote ambayo maguful anapondwa? acha uzwazwa mkuu
co lazma u reply,kwa hiyo?kaa chini unyooshe miguuKwa hiyo?