Achia njia by darasa

Achia njia by darasa

M345

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
452
Reaction score
181
Nimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka kukimbia huna break ","uji hutaki chai hutaki " huu wa saiv "achia njia" kuna sehemu ana sema " acha kuchimba watu kachimbe madini", line nyingne " umeshndwa kujenga viwanja ukaenda relini " huu wimbo ni direct kick kwa magu eb usikilize mkuu utanambia,nan ako targeted?
 
Tuwekee nyimbo na sisi tusikie wengine tunapoishi hakuna radio wala huyo darasa hatumjui
 
Nimekuwa nikifatilia nyimbo mbalimbali za msanii darasa mbona kama ana mpiga madongo magufuli? muziki kuna baadhi ya line unaona kabisa ambaye ako targeted ni nani,c mwingne n magufuli " unataka kukimbia huna break ","uji hutaki chai hutaki " huu wa saiv "achia njia" kuna sehemu ana sema " acha kuchimba watu kachimbe madini", line nyingne " umeshndwa kujenga viwanja ukaenda relini " huu wimbo ni direct kick kwa magu eb usikilize mkuu utanambia,nan ako targeted?
Vijana mkipgwa na maisha kila kitu kinachokuja akilini mwako ni unaona ni sawaa,mbna mm cjasikia verse yoyote ambayo maguful anapondwa? acha uzwazwa mkuu
 
Umetumwa Wewe.Nyambaff
 
Vijana mkipgwa na maisha kila kitu kinachokuja akilini mwako ni unaona ni sawaa,mbna mm cjasikia verse yoyote ambayo maguful anapondwa? acha uzwazwa mkuu
OK powerfool,
 
Back
Top Bottom