Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

hayo majengo na viwanja vya mpira hao ccm walivipata wapi kama sio kujimilikisha mali ya umma?

Siyo viwanja tu, hata majengo ni mali ya Watanzania woite ccm wamejimilikisha kimabavu,

shime mchakato wa kurejesha kwa umma uanze sasa.
 
Back
Top Bottom