Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Mkazi huyo wa eneo la M.R Hotel Miyomboni katika Manispaa ya Iringa ameibuka kuwa mkali wa wiki hii katika safu ya mtandao huu baada ya kukutwa akichimba madini ndani ya chumba chake zioezi lililoanza zaidi ya wiki tatu sasa bila ya kukutana na madini hayo
Polisi wakiingia kutazama machimbo hayo ndani ya nyumba ambako limechimwa shimo lenye andaki kubwa zaidi ya futi 60 sasa
Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Grevas Ndaki kushoto akiwahoji wachimbaji wa madini hao ambao wamekuwa wakichimba madini hayo bila kibali cha manispaa japo yapo maneno kuwa si madini ya kawaida.
Picha na maelezo kwa hisani ya Mzee wa Matukio daima.