Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

mimi natafakari huo umri wa miaka 25 anamiliki mali zaidi ya milion mia mbili wakati mimi nimepanga chumba kimoja na nina miaka 30"s na sijui kesho yangu ni ipi
Hapa ndo unajitafakari mpaka kunakucha
 
Kumbe basi halikuwa na engine wala gear boks hata chases...yan jamaa alivitoa then akapiga kiberiti lile body ,nadhan akitegemea anapata kitu kipya
 
Huyo jamaa na waliopanga huo mchezo hawajielewi.

Gari halina hata engine,chassis,mmeling'oa viti vyote halafu mnalibeba toka garage kwenda kulichoma barabarani ili lionekane lilikuwa safari?😁!

Au maelezo ya Mtafungwa ndo hayana uhalisia? Mbona ni utoto sana.
 
Hawa matajiri na mikopo ndio utajua Kigwangala alikuwa anasema nini
 
sasa hapo kwenye picha mbona linaonekana hakuna diff wala fron axle pia hata viti hakuna


unadhani itakuwa ni rahisi kucheza dili kihivyo?
Basi limepakiwa kwa sem hiyo,chunguza vizuri utaielewa hiyo picha
 
Insuarance laws masikini hakuzifahamu vizuri😂😂alitegemea akipewa compersation akalipe deni issue imebuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…