Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Si wote huwa wanakubaliana na kufanyiwa party bali huwa surprise party ambayo unashtukizwa na mayai viza usoniMoja ya upuuzi ndio huo
Huu utamaduni wa kizungu tunaubeba na upumbavu wake
Hivi Jitu zima na kitambi mbele kama umbo la parachichi unasubiri watu wakuimbie happy birthday, Baada ya hapo unamwagiwa maji
Shame upon you and your family
Hizi birthday zimegeuka vituko, kuna watu wanakopa pesa kufanya sherehe ya birthday
Afu ukute hata nyumba halina limepanga, lina maisha ya kawaida afu mbaya zaidi halijawahi kufanya hata ibada tangu lizaliwe. Huu upuuzi sana yani naonaga hata pale ofisini kwetu jitu zima eti limekuja na keki na kisu ofisin eti afanyiwe birthday, lina miaka kama 45 HV pumbav kabisa.Moja ya upuuzi ndio huo
Huu utamaduni wa kizungu tunaubeba na upumbavu wake
Hivi Jitu zima na kitambi mbele kama umbo la parachichi unasubiri watu wakuimbie happy birthday, Baada ya hapo unamwagiwa maji
Shame upon you and your family
Hizi birthday zimegeuka vituko, kuna watu wanakopa pesa kufanya sherehe ya birthday
huo ndio utofauti wa legends na hawa mayoso wa sasa!Zamani tulikuwa tunatumiana kadi tuuu siku hizi Mambo yamekuwa mengi tena ya kipumbavu.
Hatari sana ... Ameshafikishwa mahakamani? Vipi chuo kimeshatoa tamko la kumfukuza chuo mtuhimiwa? Au wanasubiri mzazi wa mtuhumiwa atie figisu figisu?MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Ufundi Trade Peramiho wilayani Songea, Grayson Maselin (23), amejeruhiwa na mwanafunzi mwenzake Mosses Ngole (23), kwa kuchomwa kisu shingoni baada ya kummwagia maji machafu siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake (birthday).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa Ngole, mwanafunzi wa mwaka wa nne katika chuo hicho, anadaiwa kumchoma kisu shingoni mwanafunzi mwenzake huyo na kumsababishia jeraha na kuvuja damu nyingi kwenye sherehe hiyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa, alidai tukio hilo lilitokea Jumatano majira ya saa saba mchana katika chuo hicho.
Alidai kuwa, siku ya tukio, Ngole alikuwa analazimishwa kumwagiwa maji na kupakwa matope na wanafunzi wenzake ndipo alipopandisha hasira na kufikia uamuzi wa kumchoma kisu mwanafunzi mwenzake huyo.
Kamanda Maigwa alidai mtuhumiwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi mwanafunzi mwenzake, ambaye kwa sasa amelazwa Hospitali ya Kanisa Peramiho.
Chanzo: IPP Media