Achomwa kisu baada ya kummwagia mwenzake maji machafu kwenye birthday

Aliechomwa kisu alikuwa sahihi maana hiyo ndio style mpya ya kusherehekea japokuwa ni ya kijinga kama ilivyokuwa ujinga kusherehekea sikuu ya kuzaliwa,na aliechoma kisu hukumu itamuhusu maana kumwagia mtu maji siyo kosa la jinai ila jimnai ni kujaribu kuua kwa kumchoma mtu kisu cha shingo.
Kosa la pili,mchoma kisu tatengwa na wanafunzi wenzake na isitoshe safari yake ya masomo ndo imeishia hapo kwani hata walimu wenyewe ofisini huwa wanamwagiana maji hayo hayo.
Ada ya mzazi imepotea kijinga sana.
 
Unatetea huu upuuzi!?. Mtuhumiwa aseme self defense, labda yalikuwa maji ya moto, labda acid. Tabia ja kijinga sana, itakuja ua mtu.
 
Naona huu ujinga unaupenda pia.Kwani maji hayawezi kuua?Au we kufa mpaka uone damu?

Mtu alishakataa kumwagiwa maji,then mtu anakuja tena na maji machafu,halafu bado mnaona ni vitu vya kawaida!

Tena inaonekana wewe ni mwalimu hapo na wewe na walimu wenzako mnafanya ujinga huo huo! Shame
 
Huu mtindo umetoka wapi? Mbona tunazidi kuwa.wajinga?
 
Kama vile tuko ofisi moja...!😅
 
Huyo mtuhumiwa na kamanda Wana undungu nn!!?maana wote ngole
 
Sherehe za birthday bongo? tushukuru Mungu tu kwa kutupa miaka mingi.ilia usherehekeaji wa kilimbukeni hauwezi kukuacha salama hata siku moja
 
Hii inatakiwa isambazwe watu wajue hatupendagi huu ujing.
 
Haya mambo ni ya kifala sana yamefanya mpk saiz natumia Tecno kisa upuuz wa watu
 
Jambo jema ni kwamba amemjeruhi tu hajamuua. Ila huu ujinga mi nauchukia sana sijui kwa nn watu wanauendekeza
 
Hii ulishaelezwa haifai
Your browser is not able to display this video.
 
Sipendi Kufanya sherehe za HB nataman siku hiyo hata kazin nisiwepo. Basi tu.
 
Hakuna kesi RPC na mtuhumiwa ni ndugu!! Wote wanaitwa Ngole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…