Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenu wana jf,
samahani naomba msaada wenu ili niweze kuelewa haya mambo.mimi nataka ku-apply chuo na napenda kusomea moja kati ya achtecture au building economics.,ila sijui kipi kina soko na opportunities zaidi,.naomba msaada.
asanteni
Architect reccomendend kwangu ujue sekta ya ujenzi bado changa sana kwetu. Ila yataka moyo kidogo miaka mitano chuo siuogope maisha taratibu na ndoto itatimia na utakuwa na uwezo wa kuajiriwa na kujiari mwenyewe
Kwa maoni yangu vyote vina soko kwani Architect nad Quantity Surveyor (building Economist!) wanafanya kazi kwa pamoja. Zote mbili ni rahisi kujiajiri kuliko kozi nyingi nyingine ninazozifahamu.
Hata hivyo kwa mazingira ya hapa kwetu (bongo) nadhani Architects angalau wana soko zaidi kuliko kuliko QSs. Ni vema kuzingatia pia Architecture ni kozi ndefu (miaka 5) kuliko Building Economics (mostly 4 yrs).
EGM anaweza somea hii kitu
HGE (II 12) na mwenye 'C' in Mathematics O LEVEL
anaweza akaApply
Building Economics.
vp kuhusu civil engineering?
architecture duh!, mwakipesile, lwemayanga, mosha mabangi, loh! jaza architecture mkuu ukakeshe na studio, mwaka wetu tulianza 54 tulimaliza 29 thou wengi walikimbia wenyewe, walio'disco ni watatu tu na wengine kurudia mwaka.
kibongobongo ukiwa kwenu mambo safi basi architecture utaisoma kwa raha zaidi.
yah!anapata,wapo weng 2 wamepata.
duuh umenivunja moyo kaka yangu na kwetu hali yetu sio nzuri duuuh,!
Usivunjike moyo mkuu mambo mazuri tuu huko actually mwaka mmoja ulioongezeka si tatizo kubwa sana maishani!