Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

hiii tume ilikuwa na watu wangapi hivi?
 
mmmh, JF kuna tume ya uchaguzi? hahah sasa sheria zinazotumika ndio zilezile za NEC au kuna za humuhumu JF? mmmh, makubwa! hongereni washindi. but hakuna women of the year? au masuala ya gender hayajaingia hapa? just being curious wapendwa
 
huyo base sijui acid wala simkubali kabisaaaa..nahisi kabebwa kama makongoro mahanga!!!!......Da uchakachuaji hadi JEC...!!!???? Nyani Ngadu huko juu mtu wangu!!!
 
Sasa Lizzy watakesha vipi wakati hata kupiga kura wengi hawakujitokeza?

Hata tungepiga isingesaidia maana uchakachuaji ulishaanza katika hatua za awali kabisa..mpaka kadi wengine tulitupa!!Alafu tutakuaje na MoY wawili...hapo nani makamu wa mwenzake?!
 
watu wakishindwa kuwa maarufu kwenye real life...
ka umaarufu ka online kana fariji sana.....
 
Thi is BS..... i hate NN for shoo ila dadake nimechukua......

Nakumbuka mlivyokuwa mnarushiana maneno hapa JF, kipindi kile kabla membaz kibao hawajazaliwa hapa JF......

Ila ndo hivyo mwenzako keshakuwa JF Man of the Year kwa msaada wa Tume "Huru" ya JEC...............
Ila hongera pia kwa kufanikiwa kumchukua dadake, huo ni zaidi ya ushindi wa kubebwa alioupata hapa...
 
Haaa haaa Wakuu; kwani hamkusoma Uamuzi wa JEC Kuhusu Rufaa?

Hebu jikumbusheni humu: https://www.jamiiforums.com/celebri...of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-10.html

Ndo mambo ya haki na sheria hayo.

Hivi huyu NN si aligoma kuleta utetezi wake baada ya Mwenyekiti wa Tume kumtaka afanye hivyo?
Baada ya hapo akapewa "ONYO" baada ya kuwa mbishi...
Huyu Bwana ana doa alitakiwa alifute kabla ya kutangazwa mshindi, na alipewa nafasi hiyo.. Ila kwa kutambua kuwa JEC ameiweka mfukoni aliamua kukaa kimya kwa makusudi na hatimaye leo hii tunatangaziwa eti ni Mshindi....

Mwenyekiti, ulionesha udhaifu mkubwa sana kushughulikia hili suala la NN, na kwa mantiki hiyo nipo kwenye hatua za mwisho kukufikisha mahakamani. Ushahidi wote ninao. na nimeshawasiliana na Mchungaji Mtikila, ameahidi kunipa sapoti yeyote nitakayoihitaji.
 
huyo base sijui acid wala simkubali kabisaaaa..nahisi kabebwa kama makongoro mahanga!!!!......Da uchakachuaji hadi JEC...!!!???? Nyani Ngadu huko juu mtu wangu!!!

Mkuu; JF has spoken. Tuheshimu matokeo. Furaha au maumivu for another one year. I hope ulipiga kura.
 
Hata tungepiga isingesaidia maana uchakachuaji ulishaanza katika hatua za awali kabisa..mpaka kadi wengine tulitupa!!Alafu tutakuaje na MoY wawili...hapo nani makamu wa mwenzake?!

Lizzy shida ni sheria za JF na JEC ambazo ninyi wenyewe mlizipitisha.

Mkizibadili poa. Hata wagombea binafsi watakubalika.
 
watu wakishindwa kuwa maarufu kwenye real life...
ka umaarufu ka online kana fariji sana.....

Mkuu, au vyote.

Regia Mtema ni maarufu tayari maana ni Mbunge, Na hapa ni WoY.
 

Hivi Yo Yo alipotelea wapi?

Dada yake NN ni nani ambaye amechukuliwa na Yo Yo. JF haiishi kunishangaza.
 

Haaa haaa haaa TANMO umeniacha hoooooiiiii . . . Ndo raha ya JF hiyo Mkuu.

Uenyekiti wa Kujitolea nk. Hata hivyo hukumu ile ilikuwa ya haki na ni final kufuatana na sheria za JEC. Na sasa mshindi katangazwa hakuna kukata rufaa kisheria.

Pia Mwenyekiti wa JEC ana Kinga ya kutokushstakiwa. So, usipoteze muda. Hata hivyo muda wa kustaafu umewadia unless kama nitakkuwa appointed tena.

Heri ya Mwaka Mpya 2011 TANMO.
 
NN alidokoa kura! Mshindi ninaemtambua ni ACID
 
Kazi ipo....kwani katiba ya JF inakuruhusu kumpeleka mahamani?
 
Hivi Yo Yo alipotelea wapi?

Dada yake NN ni nani ambaye amechukuliwa na Yo Yo. JF haiishi kunishangaza.

YO YO alienda chimbo ili ampate Dadake NN, sasa kafanikiwa hatimaye karudi na ushindi..

Makofi tafadhali kwa YO YO.........:teeth:
 
"Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010 "-----kwa hiyo wengine wote hapa jf ni wanawake sio? tafuteni lugha nyingine banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…