Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Lizzy watakesha vipi wakati hata kupiga kura wengi hawakujitokeza?
Thi is BS..... i hate NN for shoo ila dadake nimechukua......
Umewaona eeh BAK?
Karibu Mkuu; hatujaonana muda mrefu sana. Good to see u again.
Haaa haaa Wakuu; kwani hamkusoma Uamuzi wa JEC Kuhusu Rufaa?
Hebu jikumbusheni humu: https://www.jamiiforums.com/celebri...of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-10.html
Ndo mambo ya haki na sheria hayo.
mmmh, JF kuna tume ya uchaguzi? hahah sasa sheria zinazotumika ndio zilezile za NEC au kuna za humuhumu JF? mmmh, makubwa! hongereni washindi. but hakuna women of the year? au masuala ya gender hayajaingia hapa? just being curious wapendwa
huyo base sijui acid wala simkubali kabisaaaa..nahisi kabebwa kama makongoro mahanga!!!!......Da uchakachuaji hadi JEC...!!!???? Nyani Ngadu huko juu mtu wangu!!!
Hata tungepiga isingesaidia maana uchakachuaji ulishaanza katika hatua za awali kabisa..mpaka kadi wengine tulitupa!!Alafu tutakuaje na MoY wawili...hapo nani makamu wa mwenzake?!
Nakumbuka mlivyokuwa mnarushiana maneno hapa JF, kipindi kile kabla membaz kibao hawajazaliwa hapa JF......
Ila ndo hivyo mwenzako keshakuwa JF Man of the Year kwa msaada wa Tume "Huru" ya JEC...............
Ila hongera pia kwa kufanikiwa kumchukua dadake, huo ni zaidi ya ushindi wa kubebwa alioupata hapa...
Hivi huyu NN si aligoma kuleta utetezi wake baada ya Mwenyekiti wa Tume kumtaka afanye hivyo?
Baada ya hapo akapewa "ONYO" baada ya kuwa mbishi...
Huyu Bwana ana doa alitakiwa alifute kabla ya kutangazwa mshindi, na alipewa nafasi hiyo.. Ila kwa kutambua kuwa JEC ameiweka mfukoni aliamua kukaa kimya kwa makusudi na hatimaye leo hii tunatangaziwa eti ni Mshindi....
Mwenyekiti, ulionesha udhaifu mkubwa sana kushughulikia hili suala la NN, na kwa mantiki hiyo nipo kwenye hatua za mwisho kukufikisha mahakamani. Ushahidi wote ninao. na nimeshawasiliana na Mchungaji Mtikila, ameahidi kunipa sapoti yeyote nitakayoihitaji.
Kazi ipo....kwani katiba ya JF inakuruhusu kumpeleka mahamani?Hivi huyu NN si aligoma kuleta utetezi wake baada ya Mwenyekiti wa Tume kumtaka afanye hivyo?
Baada ya hapo akapewa "ONYO" baada ya kuwa mbishi...
Huyu Bwana ana doa alitakiwa alifute kabla ya kutangazwa mshindi, na alipewa nafasi hiyo.. Ila kwa kutambua kuwa JEC ameiweka mfukoni aliamua kukaa kimya kwa makusudi na hatimaye leo hii tunatangaziwa eti ni Mshindi....
Mwenyekiti, ulionesha udhaifu mkubwa sana kushughulikia hili suala la NN, na kwa mantiki hiyo nipo kwenye hatua za mwisho kukufikisha mahakamani. Ushahidi wote ninao. na nimeshawasiliana na Mchungaji Mtikila, ameahidi kunipa sapoti yeyote nitakayoihitaji.
Hivi Yo Yo alipotelea wapi?
Dada yake NN ni nani ambaye amechukuliwa na Yo Yo. JF haiishi kunishangaza.