huyo base sijui acid wala simkubali kabisaaaa..nahisi kabebwa kama makongoro mahanga!!!!......Da uchakachuaji hadi JEC...!!!???? Nyani Ngadu huko juu mtu wangu!!!
Hapa nashindwa kuelewa na naomba kuuliza tu,hivi na watu wanaopigwa ban kila mara na wale wanaotumia lugha za kashfa kwa members wenzao humu jukwaani nao wanastahili tuzo hii?Nidhamu ya hao watu ilitazamwa vipi katika uchaguzi huo?Nadhani man of the year anastahili yule ambaye hakuwahi kupigwa ban hata mara kwa mwaka mzima,vinginevyo naona ni kama kutuchagulia muhuni mmoja asiyeweza kuzuia mihemko yake na kumtangaza man of the year.Kweli JF is the home of great thinkers.
Nadhani man of the year anastahili yule ambaye hakuwahi kupigwa ban hata mara kwa mwaka mzima,vinginevyo naona ni kama kutuchagulia muhuni mmoja asiyeweza kuzuia mihemko yake na kumtangaza man of the year.Kweli JF is the home of great thinkers.
..... Hashimi Rungwe Spunda ... kura 20.. sawa na asilimia SUFURI NUKTA MOJA MBILI......
superman... pole na kazi ya kuendesha zoezi..
naomba hiyo zawadi uniwasilishie chadema ili wawape ubani wahanga wa arusha, nitashukuru sana kwani tuko pamoja kwenye shida na raha
hapana lady... isingewezekana, ya kaizari ni ya kaizari mamaHongera sana kwa uamuzi mzuri..Mi nilifikiri ungepeleka kwenye vikao vya jioni kule sinza na kwengineko..
I'm a man of all years, doggone it.
I'm a man of all years, doggone it.
Tupe mrejesho basi zawadi uliitumiaje?
Hii ya chini fahamu unastahili... Bado unaongoza ligi π
View attachment 375118
From dada wa uswazi akimsabai kaka wa USA.
Ulibebwa
Wooooow!
Nimekupenda!
Dah usiku huu nitaiota USA kwa neno hilo kutoka kwako, nikiamka nitacheza sindimba π. Shukurani.. tuendelee ku enjoy JF salama.
Chiazzzzzzzzzz
Mtoa post ndio nyani ngabu mwenyewe, bila shaka hata zawadi alijipatia!