Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

Acid na Nyani Ngabu: JF Men of the Year 2010

huyo base sijui acid wala simkubali kabisaaaa..nahisi kabebwa kama makongoro mahanga!!!!......Da uchakachuaji hadi JEC...!!!???? Nyani Ngadu huko juu mtu wangu!!!

Usiwe ukawa ndiyo Nyani Ngabu mwenyewe
 
Hapa nashindwa kuelewa na naomba kuuliza tu,hivi na watu wanaopigwa ban kila mara na wale wanaotumia lugha za kashfa kwa members wenzao humu jukwaani nao wanastahili tuzo hii?Nidhamu ya hao watu ilitazamwa vipi katika uchaguzi huo?Nadhani man of the year anastahili yule ambaye hakuwahi kupigwa ban hata mara moja kwa mwaka mzima,vinginevyo naona ni kama kutuchagulia muhuni mmoja asiyeweza kuzuia mihemko yake na kumtangaza man of the year.Kweli JF is the home of great thinkers.
 
Hapa nashindwa kuelewa na naomba kuuliza tu,hivi na watu wanaopigwa ban kila mara na wale wanaotumia lugha za kashfa kwa members wenzao humu jukwaani nao wanastahili tuzo hii?Nidhamu ya hao watu ilitazamwa vipi katika uchaguzi huo?Nadhani man of the year anastahili yule ambaye hakuwahi kupigwa ban hata mara kwa mwaka mzima,vinginevyo naona ni kama kutuchagulia muhuni mmoja asiyeweza kuzuia mihemko yake na kumtangaza man of the year.Kweli JF is the home of great thinkers.

In JF we talk openly.

Kwenye red umemlenga Nyani Ngabu.

Kwenye blue ulimlenga Superman.
 
Nadhani man of the year anastahili yule ambaye hakuwahi kupigwa ban hata mara kwa mwaka mzima,vinginevyo naona ni kama kutuchagulia muhuni mmoja asiyeweza kuzuia mihemko yake na kumtangaza man of the year.Kweli JF is the home of great thinkers.

You can say that again, Uchakachuaji imeshakuwa ni jadi yetu:teeth::teeth:

Nimecheka kweli yaani!!!!!!!!!!!!!!!
 
sasa unanikumbusha kipindi kile cha mzee Makame aliokuwa anatangaza matokeo..... Hashimi Rungwe Spunda ... kura 20.. sawa na asilimia SUFURI NUKTA MOJA MBILI...... Peter Kuga mzirai ....

SUPERMAN wewe ni sawa na KIRAVU
 
superman... pole na kazi ya kuendesha zoezi..

naomba hiyo zawadi uniwasilishie chadema ili wawape ubani wahanga wa arusha, nitashukuru sana kwani tuko pamoja kwenye shida na raha
 
superman... pole na kazi ya kuendesha zoezi..

naomba hiyo zawadi uniwasilishie chadema ili wawape ubani wahanga wa arusha, nitashukuru sana kwani tuko pamoja kwenye shida na raha

Hongera sana kwa uamuzi mzuri..Mi nilifikiri ungepeleka kwenye vikao vya jioni kule sinza na kwengineko..
 
Hongera sana kwa uamuzi mzuri..Mi nilifikiri ungepeleka kwenye vikao vya jioni kule sinza na kwengineko..
hapana lady... isingewezekana, ya kaizari ni ya kaizari mama
 
hao wawili waliopatikana washindanishwe mara moja. mshindi ni mmoja tu...
 
hao wawili waliopatikana washindanishwe mara moja. mshindi ni mmoja tu...
:A S-confused1:
 
I'm a man of all years, doggone it.

Tupe mrejesho basi zawadi uliitumiaje?

Hii ya chini fahamu unastahili... Bado unaongoza ligi 😀

1467589744792_1.jpg


From dada wa uswazi akimsabai kaka wa USA.
 
Back
Top Bottom