wakuu, kimila kijana akiwa ana kesi huita wazee na pamoja na kusikilizwa kwa kesi, huwa kijana anahitaji kuandaa mbuzi na mchele na mbege....... naomba niahidi nitafanya hivyo na pia ntaomba mzazi mwenzangu MJ1 tusaidiane kuandaa hiyo shughuli ili roho ya mtoto itulie, anaonekana amepata maswahiba makali sana toka kwa mganda; sijui jamaa amefanyaje tena?
son.....It feels like I've been kicked in the gut....or rather in the nuts. Now another brother is taking over!!! It's a double whammy...damn!
sasa kama si mganda, ni mnyaturu yule?Si mganda ni wewe hapo..mbona unahamisha kesi tena kaka Acid???
phweee .....ukisikia kombora la nuclear ndo hili nimepigwa nalo........sina nguvu tena hapa yaani. Ngoja nisepe tu kimya kimya duh..........nsipoangalia ntajikuta natozwa fine ya Black label sasa kwa kumkandamiza mzazi mwenzangu ambaye sikuwa namjua loland I was like....what.....! haya yamenipita wapi....lol
Aaah MwanajamiiOne.....it's like a ton of bricks has fallen onto me. I'm discombobulated.....can't think straight.
hahaha there is always more that what meets the eye MJ1......lol
Aksante mwanangu wa hiari.................umeliweka sawaSi mganda ni wewe hapo..mbona unahamisha kesi tena kaka Acid???
kamanda, kwa heshima na taadhima naomba kamati inisaidie na kujadili mustakabali, mtoto kasema anaenda kunduz kutafuta opium, huyu mganda mtu mbaya sanaaah....MJ1....wewe umpe Acid red label, tena aipitie ofisini kabla hajakutana na JS ili ampigie magoti, hizi busara unataka zipotee eti wka a flimsy reason kwamba upo kwenye sijui nini LOL
hapana.....njoo. Acid na Js wanakuhitaji sana kwenye hili...
kamanda, kwa heshima na taadhima naomba kamati inisaidie na kujadili mustakabali, mtoto kasema anaenda kunduz kutafuta opium, huyu mganda mtu mbaya sana
hebu tumsaidie huyu mtoto arusi salama aisee
btw, hivi tuna ubalozi afghanistani? maana rais wetu ana sifa sana nchi za watu, siajabau kapeleka mtu kule kufungua ubalozi
wildflower..... the one sang by K-CIWhy bro? .....or is there something more than what I gathered here?......kuwa why aitwe kaka mdogo wakati kaka mkubwa upo kutoa msaada au? uh
Hahahha eti kasema amekuwa diskabumbu .....nini tena loh mwisho tutasema visivyosemwa.any affiliations with Kiranga? ...LOL
Niaje shugacake wangu mambo vipi mwaya.....what seems to be the problem?just air it out my love mmh...kwenye bold nimepotea maana ni msamiati mpya kabisaaaaa kwangu
yeah dude... must be bluish rayish dudeany affiliations with Kiranga? ...LOL
nothing but love bro........ we spread hugs and kisses, same hands but no punches dudeOnly if I cannot sense punches are about to be all over here....
Hahahha eti kasema amekuwa diskabumbu .....nini tena loh mwisho tutasema visivyosemwa.
nothing but love bro........ we spread hugs and kisses, same hands but no punches dude
our JS misses her ankoz and antiz dude....... tuchinje mbuzi, tena spesho kutoka mangwe aisee... mshamuagiza munuo alete kesho
Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
Come on now shugacake you know me better than that mmh........i cant do anything to make you feel bad. You have my word